Happy Birthday Shunie!!!!!!!

Where z she
 
Mimi apa jamaani linii unakuja mjinii kabla shule hazijafunguliwa uje tukale mishkaki
Umejaa mihela ya bday[emoji1][emoji1][emoji1]hivi waweza amini kila siku nakuja mjini hapa nipo kariakoo mida hii acha kabisaa[emoji1][emoji1][emoji28][emoji28][emoji28]yaani tabu nnayo!!

Wewe tu ila sio leo, kesho au kesho kutwa !!!panga tu dadaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm hela za mishkaki na kulewa ninazo kila siku usiwazeee au baada ya new year nikutafute sasa usiku itakuwaje au utalala mjini
 
Aisee kumbe Shunie ukiwa emotional unatema ngeli hivi teh.
Kama mama Mchungaji nimefurahi kusikia kuwa muumini wangu unadumu katika maombi na kufunga. Your cup shall always runneth over IJN. Happy belated birthday mama Heineken, keep that loyalty....
 
Awwwwwww!!!!
 
Hahhahaha mama mchungaji nimecheka sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] akili za heineken nikilewa sio shunie mm
 
Hahhahaha mama mchungaji nimecheka sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] akili za heineken nikilewa sio shunie mm
Teh kama naliona hilo kanisa letu.
Nimeshangaa huu uzi kinge kama chote lol. But I know that feeling, raha sana when you are a good friend na rafiki zako wakaaprreciate hilo.
 
Teh kama naliona hilo kanisa letu.
Nimeshangaa huu uzi kinge kama chote lol. But I know that feeling, raha sana when you are a good friend na rafiki zako wakaaprreciate hilo.
Wamejua kuniliza hawa wadada mama mchungaji nasoma huku machozi yananitoka tuu kumbe kuna watu wananiona mm ni mtu muhimu sana

Hahhaha kanisa letu litakuwa la kipekee sana
 
Wamejua kuniliza hawa wadada mama mchungaji nasoma huku machozi yananitoka tuu kumbe kuna watu wananiona mm ni mtu muhimu sana

Hahhaha kanisa letu litakuwa la kipekee sana
Hata mtu aweje, wapo tu watakaoona uthamani wake. Afu wote tuna mapungufu yetu, ila wapo ambao wameamua kuangalia beyond mapungufu yetu, wanaconcentrate na mema yetu tu. Na unaweza ukawa unawafanyia vitu watu, wewe ukaona ni kawaida au ni vitu vidogo tu huvitilii maanani, lakini kwa yule unayemfanyia vikawa vina maana kubwa sana kwake. So keep on giving this world some positive energy
 
[emoji23][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1]una nyodo eehhh!!!we nitafute baada ya new year will be good!!!
Mm hela za mishkaki na kulewa ninazo kila siku usiwazeee au baada ya new year nikutafute sasa usiku itakuwaje au utalala mjini
Ntafika kijijini kwangu gari zipo mpk saa nane usikuuu!!!usijali mi si mtoto wa mjini!!usiku siuogopii!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaaahaaa...binamu si unajua Heineken lazima kizunguu!!

Anafunga huyuu asikuambie mtu na halewi mpk amalize funga that day ananiambia anafunga ten days...binamu nilifurahi mnoo!hapo mapenzi yakaongezeka!!anaenda church huyu Dada...acha!!usimuambie unaumwa sasa...utajuta kila mda msg!!Binamu shunie wa jf sio huyu halisi!nakuambia Mimi!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…