[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahhaha muoneWoyooooooo...
Zilete jamaniwenye njegere mihogo tulizotoka nazoo nyumbani tunazipeleka wapi kama zawadii
Sent using Jamii Forums mobile app
Umepotea sana Raynavero ,nafurahi umerudi na bilashaka u bukheri wa afya
Nipo mambo mengi tu mjini hapa...[emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1]mzima Mungu mwema!!!Umepotea sana Raynavero ,nafurahi umerudi na bilashaka u bukheri wa afya
Ukaona birthday ya ndugu yako sio ya kukupita, that's nice of you Ray
Sorry for a late reply though
Stay blessed as alwaysNipo mambo mengi tu mjini hapa...[emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1]mzima Mungu mwema!!!
Hahahaaaa...bday hii ni special kwangu kwa kweli haswa kwa Shunie!!
Nashukuru kaka usijali wala nini!!
Sent using Jamii Forums mobile app
We mtu upoooinglish puliiiiiiiiiiiiiizzzzzzzz... kiswaz hakinogi bana... happy birthday to her jamani!!
ππππAsante sana dada akee [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] nakupenda
Ever since I met,I've become the part my of life,friend the closest one...I never thought I will have a great time,happy and comfortability whenever were a together via phone or any means!!!!
Nafurahi kukufahamu japo kwa uchache tu toka tumejuana kuanzia Jf mpk nje jf...
Nashukuru kwa kila kitu ,kuniamini,kukuamini,kunipenda,kunijali kunithamini na kunifariji kwa miezi hii mita kwa yote niliyokua napitia hujui kiasi gani u mean to me...
Shunie wa jf sie yule nimjuae Mimi,nnaemjua Mimi ni yule anafunga na kusali most of her time...Shunie wangu ni yule anapiga simu na kuniambia Geni nakuombea yataisha...pole mpenzi...
Word can't express how big heart Almighty gifted uu!!!!how Almighty blesses u daily and always...
Watu wanaweza kukutazama upande ule utakaowafariji wao ili kuridhisha nafsi zao za husda na kukupaka kinyesi lakini Mubgut ndo ana jua dhamira yako...
Shunie,nakupenda sanaa mpenzi,shunie nashukuru nisamehe kwa nililokukwaza...
Naomba nikutakie heri nyingi,fanaka nyingi,maisha mema happily ever after with ur family...
Nakuombea kizazi chema luv....Mungu akupe yote uyaombayo kwa wakati wake ambao ni Sahihi!!!!
Uko serious?!!si umgegede sasa shunie na uache zile tabia zako za nanii bro
unatakiwa u hang na mtoto mzuri kama shunie unamkumbatia,unamkiss kuliko kukumbatiwa na lile zee la kizungu, yani mi ningekuwa wewe ningemchukua shunie nikaacha ile tabia mbaya, the girl is beautiful take her
kwa niaba ya wanaume wote wa jf