Najua unafurahishwa na bwashe, yanini nianze kuingilia furaha yako[emoji39]Mbona hukunitafuta eti jamani kaka, siku kuu nililala tuu jamani
Kananiringia sana haka!!
Unaguna nini mdogo wangu!!Mmmhhh
Hahahaha....Unanisingizia mimi jamani kaka...
Bado kidogo nipate ule ugonjwa wa kuchekacheka mimi jamani kaka!
Ugonjwa wa kuchekacheka...Umefurahi nini eti jamani!!
Mimi kuumwa ama?!
Haya zinakujaTubarikiwe sote jamani dear!!
Napokea zawadi mimi jamani!
Naomba usikupate huo ugonjwa, dawa si unayo mdogo wangu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiwooo, unajipata unachekacheka tuu bila mpangilio jamani