Mimi ndo memwambia auntie...
Huwa nawazooom tuu mnavyopiga budget yenu
Hapo umemchanganya atakachokuuliza nasubiri kucheka mie
Unajua cha kufanya, lasivyo hadi nipaliwe.Hahah mkwe leo mishipa yote ya shingo umeiweka kwenye hii mada...utapaliwa na mate oohoooo
Cake moshiHahah...dk 0 uwe na lokesheni wapi keki tunakula pia
Nakuona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Abeeee
Kwa umri ulivyoenda aje yeyote kikubwa niwolewe tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wolewa tu auntie, ila sio na furushi.
WoyoooooooHuyo hatuachani, hata kifo hakitutenganishi.
[emoji41][emoji41]Woyooooo watu na mababe zao
Hahahahaha
Nawaza tuu venye hupendi jamani, yaani nawaza mimii kho kho kho kho
Mbona mie sikwichi kwichi sana halafu sio mbahili hataKotekote shunie[emoji23][emoji23]
Natupia top ten yangu soon!!