Peke yako hulali, unapumzika tu! [emoji39]Mmmhhh
Mbona unanikatisha tamaa lakini kaka yangu!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kila siku unamdai zawadiKaka zawadi yangu jamani
Huwezi kulala usingizi, unless una mtu unalala nae. Otherwise unajipumzisha tu mdogo wangu.
Mmmhhh
Mbona unanikatisha tamaa lakini kaka yangu!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ninayelala na mito yangu nimekuelewa sana EliPeke yako hulali, unapumzika tu! [emoji39]
Asante shunie, tujaribu kumuelewesha mdogo/dada wako.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ninayelala na mito yangu nimekuelewa sana Eli
HahhaahAsante shunie, tujaribu kumuelewesha mdogo/dada wako.
Tuma kwanza pesa nitakujibu.
Hataki, hivi peke yako unalalaje? Haha! Tumwombe dada Sakayo akapumzike usiku umeingia....haha! Wanaolala usingizi ni walala chiu, wanachoshana then wakiangusha gari kweli wanapata usingiziHahhaah
Kwamba hataki kukubali ukweli kuwa kulala peke yake ni kujipumzisha tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bora umekubaliana na ukweliBasi nitapumzika mimi jamani kaka
Toka mwaka jana sijui mwaka juziHajawahi kunipaa
Mapumziko mema mdogo wangu!!Basi nitapumzika mimi jamani kaka
Tunapumzika bwana ebu tukubaliane na ukweli dada [emoji23][emoji23][emoji23]Hebu hukoo
Hivi ubishi haujaacha tu?
Jamani tunaoteseka sisi tunaopumzika nikiwa mkubwa natamani kuwa kama nyinyi [emoji847]Hataki, hivi peke yako unalalaje? Haha! Tumwombe dada Sakayo akapumzike usiku umeingia....haha! Wanaolala usingizi ni walala chiu, wanachoshana then wakiangusha gari kweli wanapata usingizi
Utaweza kulala bila nguo?Jamani tunaoteseka sisi tunaopumzika nikiwa mkubwa natamani kuwa kama nyinyi [emoji847]