MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
your too easy to panic!Usiharibu uzi wa wapendanao! Kama wewe una gundu kwenye mapenzi kaa kwa kutulia
Jamaa alilalamika bando lake la jero kuisha fasta halafu ww unataka 500k..!! JITATHMINI.Sitaki gazeti! Nataka anilipie 500k niwe platinum memba
Shamba nikifa nitaliacha, platinum member itabaki inasomeka hapa jfπHivi hio platinum member Inasaidia nini??!
Si bora akupe hio dough ununue shamba kha πππ!
Unaombwa usichoweza kuaffordπJamaa alilalamika bando lake la jero kuisha fasta halafu ww unataka 500k..!! JITATHMINI.
π Huwa nacheka tukibishanayour too easy to panic!
we unakisirani itabidi tukae tukipunguze! mwenye uzi ona alivyoreact ila wewe sasa duh!π Huwa nacheka tukibishana
mh! kwa huyu sidhani nitamng'oa meno...πMna kitu mtafika Mbali πππ!
Kisirani ninacho! Kama wewe tuwe unakisirani itabidi tukae tukipunguze! mwenye uzi ona alivyoreact ila wewe sasa duh!
Wakati unaning'oa meno, mimi nitakua nishakutoa kengere naenda kupikia supumh! kwa huyu sidhani nitamng'oa meno...π
si unaona tena..πKisirani ninacho! Kama wewe tu
Kwani mimi ni kipofu hadi nisionesi unaona tena..π
Ahsante sweetheart,pole yao sana wanaojua tutaachana.Wishing you a birthday as perfect as you are for me.
Your day is as special as you are! May your birthday be as unforgettable as you are every day.
Here's to another year of good health and happiness.
May you have all the love your heart can hold, all the happiness a day can bring, and all the blessings a life can unfold.
Happy birthday to the man who loves me at my best and worst.
Happy birthday my friend a best friend in deed my soulmate!
Happy birthday Smart911 .
Happy birthday my love
View attachment 3042728View attachment 3042731