stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,216
- 26,225
Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwangu, namshukuru Mungu kwa uzima na afya tele alionijalia mpaka kufikisha siku ya leo, naendelea kumuomba aniongezee siku za kuishi ili nizidi kupata nafasi ya kumtukuza yeye siku zote zilizobaki za maisha yangu.