Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
- Thread starter
-
- #41
Ah ah ah ah ah uyo mtu mzima show kama izo utasababisha mambo mengine buree ooohhh4G Lite mgegedo
Ah ah ah ah shona nyingi tukauzee karumeNilishona sikununua
Fanya ukamnunulie Burger na NIDO basiKuhusu swala la kumpenda hilo nadhan analijua...
Kwa jinsi anavyo penda kudeka na mim ninavyojua kumdekeza acha tuuuu
Mambo ni motoo
Ah ah ah ah nampa zaid ya ivyo iyo ni sehem ya majukum yangu kama baba kuhakikisha mtt mzur kama uyo anakula vzr na kuvaa vzr sio mgegeo tuu pasipo kutekeleza mambo mengine ya msingiFanya ukamnunulie Burger na NIDO basi
Fanya unilete vipimoAh ah ah ah shona nyingi tukauzee karume
Panga siku ya kuonana mana na wew upo busy sana jaman khaaaaahFanya unilete vipimo
Sio lazima tuonane, vipimo tu wataka tukutane...sitaki kesi za kununuaPanga siku ya kuonana mana na wew upo busy sana jaman khaaaaah
amu unatufanya tulale macho...kukuche mapema aiseee
Hakuna kesi hapo wew tuu amu mzungu sanaSio lazima tuonane, vipimo tu wataka tukutane...sitaki kesi za kununua
Acha nimezee maji tu....Moja yako moja yangu picha ya burger tatizo ina lisura langu ningekuwekea mpenzi
Aitheee mambo matam tam hayoMoja yako moja yangu picha ya burger tatizo ina lisura langu ningekuwekea mpenzi
Nikipata ruhusa kutoka kwa mteule nitakujulishaHakuna kesi hapo wew tuu amu mzungu sana
Ah ah ah akizingua chepuka mara mojaNikipata ruhusa kutoka kwa mteule nitakujulisha
Hawezi kukataa, anaweza inlets piaAh ah ah akizingua chepuka mara moja
Mi nakukubali una ushawish mzur sana kias kwamba ukimwambia kitu anakuelewa!!!!Hawezi kukataa, anaweza inlets pia
Kuelewa ni moja ya sifa nilizompendea....Mi nakukubali una ushawish mzur sana kias kwamba ukimwambia kitu anakuelewa!!!!
Ah ah ah ah ah jambo zuli hilo kusikiaKuelewa ni moja ya sifa nilizompendea....
Shida ndo kama hiyo vibenten kama nyie hapo mnaniganda wakati nawazaa huku nakunywa baltikaIla mbona hauzeeki jaman bado mbichi kabisa yan
Yan mtt teke teke
ulifiki nakuwekea picha za balimi?Ah ah ah ah ah nimecheka kwa nguvu kias kwamba baba mwenye nyumba kesho anaweza nipandishia kod