Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
Jamaa fundi sana huyu na Kuna ile remix yake yupo na Ariana grande
Weekend yako ikoje lo?? Nawe unakula myuziiik taratiiibu kama vin au???
Weekend yangu nawaza mambo yako, umetoka kusema napenda nini tena...Weekend yako ikoje lo?? Nawe unakula myuziiik taratiiibu kama vin au???