trigeminal
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 1,944
- 2,283
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sitakuja kukusalimia kisongo.Dah.... Na Akitoka KAWE basi awe Rais wa pili mwanamke wa JMT[emoji13] [emoji13]
Ulitaka azae matoto yawe omba omba bora amewaepusha na shida za duniaKhaaaa!!
Ana 39!!!
She z old lady now, nadhan umri wa kina mama wema huo
Ohooooo!!!Mbona Samia Suluhu yupo Single
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Mtoto???? na yule msagaji wa bulaya huyo mtoto atazaliwaje....
Kama ukitaka unazipata ziwe za kichina, kimarekani au kikorea una afford kwanini ukae nayo ndani ya kibongo Kaka radha ina muda wake better yeyeSijamshambulia mkuu.....naheshimu maamuzi yake, sijajua kama ameamua kuishi single au vijana ndio tunashindwa kumtokea?
Mama Wema akiwa na 39 ,huyo Wema ana miaka mingapi ,19?Khaaaa!!
Ana 39!!!
She z old lady now, nadhan umri wa kina mama wema huo
Heheeee na mwili una nafasi yake hata ukifanya kazi sana huna budi ulale nimpe pole sana kwa kujikita ktk sehemu moja na kupoteza sehemu moja mbaya zaidi angalie asijepoteza nafasi yk huko mbinguniHappy birthday Madam..mimi ni mtu ambaye na support uendelee kuwa Single..ili uwe na mda mwingi wa kupigania Jamii yako ya KAWE..ili siku.moja waje kukumbuka kwa ushujaa wako...keep going Halima Mdee...
Nonsense unadhani huyo ni wa pwani ambapo kuolewa ndiyo shule ya maana duniani?39 afu yupo single? Not fair
Kwani ye ndo anaamua au ni nature39 afu yupo single? Not fair
Duh watu mna manenoKhaaaa!!
Ana 39!!!
She z old lady now, nadhan umri wa kina mama wema huo
usipozaa bado utakuwa msichana sio mwanamkeUmaskini wa fikra ndio adui wetu. Hivi lazima kila mwanamke azae!?