Happy birthday, mungu akupe maisha marefu uzeeke hadi tuwe tunakuanika juani.

Hongera Babu Bigirita.

HAPPY BIRTH DAY.

asante mkuu.....umepotea kama mwaka jana....pamoja

Pm naogopa mie,wee madhiwa utakuta huku sebuleni.Watoto wa siku hizi mnazaliwa na nyundo za ku-break hearts!
king'asti check pm basi.....wapya naomba muwe kimya hapa. mm ni mtoto, nimeambiwa naletewa madhiwa.
Aisee hivi sasa hivi ni usiku au asubuhi maana ni balaa wapi kimey,bigirita once again happy bday uko vere veremtoto una kasi ya ukaguzi cjui ukikuwa!is vere vere
Happy bday mtu mweusi pia nawatakia heri ya mwaka mpya wiselady,pj,mj1,preta,lilyflower,derimto,teamo,fl1,fl,asprin,kimey,gy,js,saharavoice,acid
Babu yangu Bigirita
Ninatumaini u mzima na MUNGU atakujalia uuone mwaka 2011 kwa amani, upendo na Rehema zake. Nina amini kabisa kuwa Mama yetu si kati ya wale waliosahau birthdate za watoto wao na the only tarehe wanayokumbuka ni ile ya kupata kipaimara kwa kuwa kuna ile tour...nyumba kwa nyumba...
Bigirita...........UBARIKIWE SANA
Happy Birthday Bro/Babu
sis/mjkuu original.....ukinionea saharavoice umwambie mm ni msemaji wako, gy, teamo, fl na ld.

wewe ni mtu mweusi na umekula mbusi mingi na kisusio
Pacha hongera ila baba ana shabaha kalenga mpaka tarehe! ili siku yako isherehekewe na wengi! Sasa kaa tulia kunywa mathiwa yako thatha na uniachie MJ1wangu maana thithi ni wakubwa na wewe ni mtoto.
Mungu akufanyie njia pasipo na njia ayatimize mazuri yote yaliyobakia maishani mwako atayatimize na ukayaone na kuyafurahia.
Mwaka huu nimefanya resolution ya kuvumbua vichaka vingi on transit....btw: mwaka naweka weupe wa kichina.
Babu mkagua naniliu, PC yako ina kirusi nini maana hata sielewi hayo mapambo yanayotokea kwenye posts zako. Nway Happy Birthday ya Kuzaliwa