Babu yangu Bigirita
Ninatumaini u mzima na MUNGU atakujalia uuone mwaka 2011 kwa amani, upendo na Rehema zake. Nina amini kabisa kuwa Mama yetu si kati ya wale waliosahau birthdate za watoto wao na the only tarehe wanayokumbuka ni ile ya kupata kipaimara kwa kuwa kuna ile tour...nyumba kwa nyumba...
Bigirita...........UBARIKIWE SANA
Happy Birthday Bro/Babu
Hivi Derimto mbona unantafuta nianze mwaka kwa vuvuzela lakini? nimesema moyo wangu wenyewe uko kipande bado wataka kuuvunja??? ah
Ntakupasua chaliiiangu!!
Ha ha ha, MJ1, mtapikie kipepeo kimoja atakukoma kabisa, nilimshauri atumie mkorogo awe ka PJ akawa mbishi.

Happy Birthday Bigirita.

Tunakuombea uishi zaidi ya miaka 100 ukiwa na afya njema.

Ha ha ha, MJ1, mtapikie kipepeo kimoja atakukoma kabisa, nilimshauri atumie mkorogo awe ka PJ akawa mbishi.

Happy Birthday mdhamini mkuu Bigirita

Pamoja sana...leo Marangu naina panahusu sana...

Mwaka huu nimefanya resolution ya kuvumbua vichaka vingi on transit....btw: mwaka naweka weupe wa kichina.

asante sana lov, u know what is in my heart is hard so say right now.....one thing for today is i do love ya....mengine huwa ni crap na hayatupi satisfaction yeyote

nasingiziwa mie......ila wamewakikimbiza wote walokuwa wanataka kuja kwangu mm nilowako.
i break no hearts....i luv ya
mtoto una kasi ya ukaguzi cjui ukikuwa!is vere vere
Bigirita uko wapi ? birthday mitaa gani nizamie ?
DC bana mi sisemi neno happy new year nilikumiss mbona umepotea sana? naomba ntafutie shamba 2011 kauli mbiu kwangu kilimo kwanzaFL1,
Gia yako ya kuanzia mwaka wa 2011 kama inavyoonekana kwenye avatar yako inatisha. Naamini tutafika lakini,
Babu DC!
DC bana mi sisemi neno happy new year nilikumiss mbona umepotea sana? naomba ntafutie shamba 2011 kauli mbiu kwangu kilimo kwanza
FL1 mbona unataka kunitisha kabla mwaka hata haujachanua?
Unataka shamba au bustani?
Mimi nipo tu, ila wajukuu siku hizi wamenisusa!
Babu DC