Bro,Ok.
Jirani
Ndio usiwe unawahi sana kuondoka vingine kama hivi vitakupita[emoji15] [emoji15] [emoji15] nilitoka saa 12
Karibu tena jiraniOk.
Jirani
Bamdogo shikamoo hivi ushauri gani kwani anaoongelea shangaziUnacheka nini
Marahaba mamdogo haujambo!Bamdogo shikamoo hivi ushauri gani kwani anaoongelea shangazi
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
hahahah kwa nini umemblock shangazi yangu jamaanMarahaba mamdogo haujambo!
Yule nimemblock siku hizi sipati comments zake
Ananiharibia huyo.hahahah kwa nini umemblock shangazi yangu jamaan
kaniambia eti nimefata ushauri wako hivi ni ushauri gani bamdogoAnaniharibia huyo.
Mfano hapa nasubiri uniambie kaharibu nini tena leo
Yule acha naye atakupoteza. Naona unazidi kuwa mzuri tu. Haya bwana nitafanye sasa na yalishakuwa.kaniambia eti nimefata ushauri wako hivi ni ushauri gani bamdogo
Saint Ivuga nae anakwepa mchango au?
Hata wewe jirani. Sijui shida ninSaint Ivuga nae anakwepa mchango au?
Wèeeee umeniambia lini jirani?Hata wewe jirani. Sijui shida nin
Nilikutaja jirani ni kadi tosh ileWèeeee umeniambia lini jirani?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] ngoja kwanza sijaelewa! Ntakucheki privatelyNilikutaja jirani ni kadi tosh ile
Haha poa.[emoji15] [emoji15] [emoji15] ngoja kwanza sijaelewa! Ntakucheki privately
Unamuoa nani? Tuanzie hapo.
Huu ujirani wenu huu siutaki[emoji15] [emoji15] [emoji15] ngoja kwanza sijaelewa! Ntakucheki privately
Hata ww Inna usichangeSaint Ivuga nae anakwepa mchango au?