Hahahah si unajua id zetu za jfNipe jina lake la kibantu, hayo mengine mtaniumiza ulimi mimi.
Abee Antonio avatar yako inanitisha Jamaan mwanzo nilijua king kong ndio anatumia avatar kama hiiShunie
Shunie
Ipiii dada kamaliza yote yeye mwenyeweNaomba keki yangu
My wii Umeanza lini kunichukiaNdio imeshakuwa hivyo my wi [emoji23] [emoji23]
Ujue espy hakujui kwenye kitengo chako cha kudai [emoji2]Nipe keki acha hizo bhana
HahahaahNdo nampa nafasi ya mwisho, Shunie Umeichoka amani sio
Aharibu kabisaaNashangaa anataka kuharibu jina la shemeji yako
Thank u my dear. [emoji8] [emoji8] [emoji8]HBD Emmyta Mungu akubariki[emoji120]
Kuja[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Naomba keki ShunieIpiii dada kamaliza yote yeye mwenyewe
Hujasahaulika ila nikuombe unisamehe bure mana kamzigo kenyewe kameishia hewani. [emoji23] [emoji23]Hata huku kwangu akajafika,cjui ndio nimesahaulika!
Ujue siamini kama umekula yooote, ka naota vileeUjue espy hakujui kwenye kitengo chako cha kudai [emoji2]
Mie tena mbona sina ubavu wa kukuchukia my wi. [emoji23] [emoji23].My wii Umeanza lini kunichukia
Haribu kabisaa antiMume wangu anaitwa Lee Empire usinihalibie jina shangazi
Ahsante mkuu. [emoji120] [emoji120]Happy bday emmyts