Mkazanie basi alipe zote, mi naona aibu kumdai.Angekula ya kwako ila yangu lazima ailipee
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mie nazaliwa jumapili, ununue keki utume kwenye Simba mtoto
Sijasikia vizuri, kulikuwa na kelele.Umesikia lakini
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Hahahah si unajua id zetu za jf
Shangazi kila mtu sasa hivi anakataa hakumchagua, hata mimi sikumchagua kwakweli, alijichagua mwenyewe.[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] mlimchagua wenyewe mnataka kukimbia ili iweje shangazi tugawane maumivu
Ooooh!! Hilo naomba wewe ndio uwe unamuita, mie nichagulie lingine la kumuita.Mume wangu anaitwa Lee Empire usinihalibie jina shangazi
Kuliko alivyokuona ukibugia keki zote?Mungu anakuona ujue shangazi
Hivi shangazi kwani wewe hukuzaliwa?basi mwakani tena akizaliwa emmyta tena
Niende wapi sasa?espy toka hapa mfyuuu
HahahaMkazanie basi alipe zote, mi naona aibu kumdai.
Mmmmh!! Usije ukawa kama mwanangu ye akiamua tu analilia birth day party maana hata ukimuelewesha maana ya b.day haelewi.Hahaha
Jumapili ni birthday [emoji512] yangu, hutaonja keki
Eti keki unayo wewe apo na ShunieSijasikia vizuri, kulikuwa na kelele.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aliletwa na MunguShangazi kila mtu sasa hivi anakataa hakumchagua, hata mimi sikumchagua kwakweli, alijichagua mwenyewe.
Jamani dada ake yamekuwa hayo. Lol [emoji124] [emoji124]cake ipiii emmyta kala boga ndio kafanya cake
Muite KivurugeOoooh!! Hilo naomba wewe ndio uwe unamuita, mie nichagulie lingine la kumuita.
muite mume wa shunie bas shangazi mbona hivi lakiniOoooh!! Hilo naomba wewe ndio uwe unamuita, mie nichagulie lingine la kumuita.
Hivi huyo mkwe mbona humleti nyumbani? Hizi ndoa zenu za kidijitali balaa kweli. Mkija mje na fine shangazi.nilikua na mume shangazi
EeenheeKuliko alivyokuona ukibugia keki zote?
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Kuliko alivyokuona ukibugia keki zote?
me nimezaliwa [emoji23] [emoji23]Hivi shangazi kwani wewe hukuzaliwa?