Hahahakula cake zenu ndio mnipe tarehe ga kuzaliwa siku ya wajinga kwani me sijazaliwa
[emoji125] [emoji125] [emoji125]Jiandae j.3 kazini.
Mwenyewemfyuuuu
Cheti si kinatengenezwa tu aunty, tutakutengenezea kipya cha 1st april.hapana aisee mpaka cheti ninacho
[emoji15]Miss you..
Aonyeshe vyetiEti anasema disemba, kaamua kujibahatishia tu.
Kwani Vipi[emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji2] [emoji2]
[emoji134] [emoji134]Ndio hivyo, huyu mtoto ana matatizo mengi sana.
Sinaga namba ingine mbonaAunty hiyo ya halotel haukuwahi kunipa.
[emoji57] [emoji57]Hahaha
Chezea kula vya watu wewe
Mahari jeHahaaa. My wi kwa kaka yangu T [emoji23] [emoji23]
takiiiiii jamaanCheti si kinatengenezwa tu aunty, tutakutengenezea kipya cha 1st april.
Oooh!! Ulizaliwa eeeh mtoto mzuri!! Ndio maana tumekupangia birth day yako mama.shangazi mshindweeee nimezaliwa mimi
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Aonyeshe vyeti
Ooohmimi ndio cake yako nilimpa lee akuwekee nisiimalize
Aunty utavunjika miguu, kwani unawahi wapi?[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
nashangaa tuKwani Vipi
Niwakunyonga huyoooNdio hivyo, huyu mtoto ana matatizo mengi sana.