huyo baby wake shangaziAunty hilo cheko lina maanisha kuna kitu unakijua, kuna kitu mnanificha eeh!!!
Kile ulichoniadi shunieunaomba [emoji15] [emoji15] nini we Antonio
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Na wewe wako nani? Mjitaje tu maana hamna namna.
Nini wewe?[emoji15]
Akimtaja unitag espy [emoji12]Na wewe wako nani? Mjitaje tu maana hamna namna.
Muoneee...Mwenyewe nilikuwa sijui bhana
[emoji15] [emoji15] siitaki mimi hiyo kazi nitakua nakula tu mshahara utaisha kwenye cake ninazokulaNdio unakwenda kupima sare?
kuwa serious ujue nakuheshimu sanaKile ulichoniadi shunie
Mimi bado my dada najitunza kwa kufuata nyayo zako mpaka nipate wa kufanana naye [emoji124] [emoji124] [emoji124]Na wewe wako nani? Mjitaje tu maana hamna namna.
kaka akee emmyta shikamooNini wewe?
Aseme ukweliAunty hilo cheko lina maanisha kuna kitu unakijua, kuna kitu mnanificha eeh!!!
One love sister..Usijali kaka ake najua hukidhamiria.
Zawadi yangu naisubiri ukija nyumbani usisahau.
Uwe na wakati mzuri my kaka. [emoji23] [emoji23]
Haaaa we jana c uliniaidi kunipa keki ambayo ungepewa na emmytakuwa serious ujue nakuheshimu sana
MmmmhAunty naunganisha dots tu ujue, maana sijaelewa kabisa kwanini ujibu hiyo comment wakati kasema "hata wifi yako haniambii"
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]One love sister..
Dada yako anapenda kunyonga eeh ?[emoji23][emoji23][emoji134] [emoji134]