nipo poa sijui weweHaa vipi mzima lakini best
Kwema emmyta na ukala keki mwenyeweNzuri antonio. Kwema?
[emoji40][emoji40]si umemfundisha
safi sana Antonio sijui weweHabarini za jioni sakayo, shunie, espy na emmyta
Sema hakyamamaMimi bado my dada najitunza kwa kufuata nyayo zako mpaka nipate wa kufanana naye [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Nyie watoto nimewashindwa!!huyo baby wake shangazi
Usijali, ngoja tusubiri.Akimtaja unitag espy [emoji12]
Na kufutuka utafutuka pia shangazi, faida mara mbili.[emoji15] [emoji15] siitaki mimi hiyo kazi nitakua nakula tu mshahara utaisha kwenye cake ninazokula
Salimia vizuri bhanaMama mkwe mbona unakuwa mkali?
Shikamoo
Naona shangazi yenu espy anataka kuleta nouma [emoji23][emoji23]Kweli vile
Salama kabisa antonio.Habarini za jioni sakayo, shunie, espy na emmyta
Ukomeee kula vya watummetoka kwenye cake mmehamia kwenye vyeti
hapa si insta au fbAu tumtengee siku ya kumdai vyeti
Aunty mbona unakuwa mkali?kuwa serious ujue nakuheshimu sana
kwahiyo ulijua ni nani yake shangaziNyie watoto nimewashindwa!!
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Id ipi hiyo?salama tu sakayo anataka kutekwa au ile id yako ulitaka kumpima tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kufutuka zaidi ya hapaNa kufutuka utafutuka pia shangazi, faida mara mbili.
Eti umesema!! Ngoja nawe nianze kukuchunguza, lazima kuna namna sio bure, kuna mtu anapita kimya kimya utanieleza tu ni nani huyo!!!Mimi bado my dada najitunza kwa kufuata nyayo zako mpaka nipate wa kufanana naye [emoji124] [emoji124] [emoji124]