Sio tu anawinda, bali ashamnasa.Eeeh..
Kumbe yuko mtu anawinda kwetu?
Kwahiyo kumtaja umegoma si ndio!!!My dada kwa utabiri. Sikuwezi lol. [emoji23] [emoji23]
Eti anapenda tuu comment zako![emoji23] [emoji23] sio yeye kaka, usije ukamkata miguu.
Huyo anapenda tu comments zangu [emoji87] [emoji87]
Ulipo yupo, kwahiyo naunganisha tu matukio.Hayupo bana kaka.
Mi na wewe tena angekuwepo ningeshakutonya ili usije mkata miguu.
Hapa nimecheka kwa sababu espy ananiambia yupo anayepita kimya kimya. [emoji3] [emoji3]
Uongo dhambi ujue!!Kweli vile kaka hayupo. [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Usiniambie watakuwa hata washafanya ujinga eeh? [emoji41][emoji41]Sio tu anawinda, bali ashamnasa.
Ondoa wasiwasi kaka ake ningesha kwambia [emoji2] [emoji2] [emoji2]Eti anapenda tuu comment zako!
Nina wasiwasi..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna mtu naona ana gonga like comment zako tuu..
Afu huyo mtu ni me, sasa nahisi ni yeye...
Hizi akili ndio zilimteka sakayo..![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Una akili sana mkwe wangu.
Uuwiiii [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Kaka yako sio duwanzi, ashajua.
Hiyo sina ushahidi nayo, we huoni dada yako anacheka cheka tu!!Usiniambie watakuwa hata washafanya ujinga eeh? [emoji41][emoji41]
Ngoja niende town kwanza..!Ondoa wasiwasi kaka ake ningesha kwambia [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Birthday galOndoa wasiwasi kaka ake ningesha kwambia [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Safi sana mkwe wangu, mwanaume akili. Kweli mwanangu yuko mikono salama sasa.Hizi akili ndio zilimteka sakayo..!
Hahaaa[emoji23]
HollaBirthday gal
Alafu unasahau ulishamtajaga.Uuwiiii [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Thank you aunt espy...Safi sana mkwe wangu, mwanaume akili. Kweli mwanangu yuko mikono salama sasa.
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]Ngoja niende town kwanza..!
Nikirudi home nataka statement iliyonyooka..