Happy birthday to Jr

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Ujumbe wake huu hapa kwa siku hii maalum kwakempende jirani yako kama nafsi yako...ungana na Jr katika siku hii maalum kwake kuwasamehe wote waliokutendea vibaya na kukukwaza nawe utabarikiwa

Anza upya na Jr.[emoji779]

Pls Moderator iacheni hii post hukuhuku kwa ombi maalum thanks[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Happy birthday kaka mkubwa.


Hao ndio maadui wenyewe? Duuh
 
Happy bd my mdogo! xxxxxxxx Uzidishiwe miaka nyingi yenye heri na hekima zizidi zaidi.πŸ™‚πŸ™‚πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
mzee nataka dawa ya macho maana nakumbuka hadi jana saa moja pochi lilituna ila sasa hv sioni kitu ila nimechoka sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole sana chumaulete za siku hizi noma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…