Happy birthday to Jr

Happy birthday jr. Kuhusu picha hayo si mapenzi ni mahaba mubashara kabisa
 
Happy bd my mdogo! xxxxxxxx Uzidishiwe miaka nyingi yenye heri na hekima zizidi zaidi.🙂🙂😀😀😀
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] thanks dada
 
Happy birthday Jr. Mungu akupe maisha marefu yenye neema tele.
 
Happy Birthday Boss. Mungu akujalie miaka mingi mbeleni yenye afya.

Ubarikiwe.
 
Kwa hiyo wako kwenye mapenzi ya kweli kwa lugha nyingine.
Sio mapenzi kama mapenzi tunayoyajua ila ni upendo. Sie katoliki tunafundishwa kuwa amri kuu aliyotuachia Bwana Yesu ni Upendo. Kuna amri kumi za Mungu lakini zote Upendo una apply. Kwa mfano. kama una upendo huwezi kumuua mwenzako, kama unapendo huwezi kuwakosea adabu wazazi wako, huwezi kulitaja jina la Mungu bure, huwezi kumtani mke au mali ya mwenzako, huwezi kuzini na wala huwezi kusema uongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…