Happy birthday to Me (09 March)

Happy birthday to Me (09 March)

Desire mobutu seseseko

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2018
Posts
987
Reaction score
1,426
Habari yenu wana MMU

Ningependa kuchukua walau nafasi hii Kumshukuru sana mwenyezi Mungu pamoja na wazazi wangu kwa siku ya leo, siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwangu.

Kama unalolote la kuniambia..ushauri na mambo mengine kwa wema karibu! Ahsante!

Desire Mobutu sesseseko Kuku Ngweno wa zabango

IMG_20150309_015608.JPG

 
Happy birthday ni sikukuu za kizungu wewe tutakutakia heri ya sikukuu za mavuno maana ndo wakati wake huu haswa mahindi..😊
 
Back
Top Bottom