Desire mobutu seseseko
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 987
- 1,426
Habari wana MMU, leo siku ya kumbukizi ya kuzaliwa kwangu, ningependa kumshukuru Mwenyezi Mungu na wazazi wangu kwa siku hii muhimu sana.
Ahsante kwa afya njema, pia muwe na siku njema wana MMU na Mungu awabariki sana tuendelee kupeana ushauri na kukumbusha mambo ya msingi katika mahusiano, mapenzi na maisha.
Natanguliza shukrani za dhati kabisa.