Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msimnyime uhuru nae anayo haki ya kusheherekea ujui amepitia mangapi up now kafika hapo msitafsiri vibayaMambo ya happy birthday ni mambo ya wadada.
True, mwanaume inabidi awe mgumu Kila eneoMambo ya happy birthday ni mambo ya wadada.
😂😂😂 kazini kuna kazi
Mambo ya kina mitano tena kwa mama.Mambo ya happy birthday ni mambo ya wadada.
Utapigwa wewe dogoMambo ya happy birthday ni mambo ya wadada.
🤣🤣🤣🤣ðŸ¤
Unahonga msingi kwani hamjui kula kimasikhara?Sema nyeto inafaa sana kwa mtu anaejitafuta!, maana ukizubaa unaweza kukuta pesa uliokuwa unatakiwa kutumia kwenye vitu vya msingi yote umetumia kuhonga