Happy birthday to me Da'Vinci..

Mkuu mbona unaniombea nidedi mapema ivo? Mimi bado kama miaka 70 Mbele au ndo unataka unitapeli miaka yangu.

Kufa hakuna raha mkuu. nikifikiria kuoza roho inasinyaa
 
Mkuu mbona unaniombea nidedi mapema ivo? Mimi bado kama miaka 70 Mbele au ndo unataka unitapeli miaka yangu.

Kufa hakuna raha mkuu. nikifikiria kuoza roho inasinyaa
Tulia dogo unataka ardhi isipate rutuba kutoka mwilini mwako..kuna funza na minyoo kibao wanakusubiri wanataka wachukue madini fasta mwilini mwako wasambaze ardhini dunia yetu ipate rutuba kizazi kijacho kisipate tabu ya ukame na njaa.

Usiwe selfish dogo..tufe mapema kwa ajili ya kizazi kijacho.

Yaani watu tunampenda Mungu ila hatutaki kuonana nae fortunately njia ya kuonana nae ni kudedi tu.

Happy bdei bhana dogo uishi miaka 100. Nimebatilisha nakuombea long life.
 
Karibu dunia iliyo jaa kila ukipendacho

Elewa wewe ni sehemu ya hii dunia
Dai haki yako timiza wajibu wako

Chukulia unayo yapitia ndio uliyo andaliwa na alie kusudia uzaliwe

Jifunze kunyenyekea

Jifunze kukalipia

Jifunze kila lilio jema na litakalo kupa furaha

Yanayo umiza yafanye changamoto ili uyapite salama

Elewa muda sio wako zingatia kinacho kupendeza

Mungu amekuleta kwa makusudi

Chukua muda wako kutafakari ukuu wa mungu na uumbaji wake

Mwisho nikutakie siku yako ya utambulisho dunia

[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Ahsante mkuu Nitayashika mausia yako. Thank broo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…