Leo ni birthday yangu Mungu kanijalia nimefikisha miaka 22. Happy birthday to me happy birthday to me happy birthday dear K 4 LIFE happy birthday to me.
Happy birthday K ila siku zako za kuishi zinazidi kuyoyoma jitahidi bana hata ukiondoka basi wanaobaki angalau wakukumbuke kwa jambo angalau moja la maana ulilofanya wakati wa uhai wako