Happy birthday to Me. Happy birthday to all team June

Happy birthday to Me. Happy birthday to all team June

Chakorii

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
18,773
Reaction score
51,429
Habari ya asubuhi JF Family.

Mnaendeleaje leo ninafuraha sana jmn kha!sio kwamba nimeongeza mwaka mpya tu..hapana ni kwa sababu nimeongeza mwaka mwingine nikiwa na afya njema na uzima pia.🙏Mungu kwa hii nafasi ya pekee sana kwangu.

Ndani ya uzima na afya, utaweza kwenda popote,kufanya chochote,kupigana na chochote na mengineyo mengi💃💃

Kwa team Gemini na kwa wote walizaliwa June, happy birthday to us
🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂
With
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
 
Nimekuzidi siku 16,

Ila mimi siku hii huwa ni siku ya huzuni kulio furaha
Huku nikijua wazi niko karibu zaidi na mwisho wangu kuliko mwanzo wangu,

kwani kila unavyo ongeza miaka, uko karibu na kifo na siyo uhai kamwe.

Lakini wacha tujipe moyo, tuendelee kuponda maisha, tukibashiri kuwa tutaendelea kuwepo duniani kwa bahatinasibu.

Ila la hakika ni kuondoka na kuiacha dunia tukiwa na mizigo tele ya matendo yetu mazuri na mabaya

Kithirisha matendo mema na punguza matendo mabaya.

Mungu awabariki wato team JUNE chama langu la kati kati ya mwaka.
 
Sentensi ya mwisho imenipa faraja aisee..ila mwanzo ulivyoanza..😅😅😅ulinistua kidogo..

Nashukuru kwa wishes mkuu❣️❣️❣️
 
Happy bday Chakorii baraka za Mungu ziwe nawe leo na hata milele🎂

Ila sijui kwanini nilipoona jina lako ghafla nikamiss kachori😃
😅😅😅😅😅😅😅😅 ohooo haleluyah...asante my dear..❤️❤️

Umeniacha hoi haki tena jmn...eti umekumbuka kachori 😅😅😅😅umenifurahisha kwakweli
 
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji109][emoji109][emoji419]
gemini-forever-geminiforever-22175302.jpg

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom