Nimekuzidi siku 16,
Ila mimi siku hii huwa ni siku ya huzuni kulio furaha
Huku nikijua wazi niko karibu zaidi na mwisho wangu kuliko mwanzo wangu,
kwani kila unavyo ongeza miaka, uko karibu na kifo na siyo uhai kamwe.
Lakini wacha tujipe moyo, tuendelee kuponda maisha, tukibashiri kuwa tutaendelea kuwepo duniani kwa bahatinasibu.
Ila la hakika ni kuondoka na kuiacha dunia tukiwa na mizigo tele ya matendo yetu mazuri na mabaya
Kithirisha matendo mema na punguza matendo mabaya.
Mungu awabariki wato team JUNE chama langu la kati kati ya mwaka.