Mohammed wa 5
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,215
- 3,035
Hiyo mpalange umeitoa wapi lakiniππHappy birthday kijana
Kumbe jf kuna watoto kabsa humu muwe mnatupa heshima
MPALANGE HAPPY BIRTHDAY
Happy birthday ππππMay 20 Mohammed wa 5 nililetwa kwenye dunia hii...Asante Sana familia, baba na mama kwa upendo wenu mpaka leo nilipofika..pole Sana mama angu kwa yote uliyoyapata baada ya kunileta duniani miaka 2 ulikuwa mtu wa kuumwa na kuteseka nakupenda Sana.
Happy birthday to me Mohammed wa 5View attachment 2628387
Umewaza nini mkuu π€£Wakijipitishaa........
Nje ya mada,Happy birthday kijana
Kumbe jf kuna watoto kabsa humu muwe mnatupa heshima
MPALANGE HAPPY BIRTHDAY
Acha bangi mzeeNikiona mwanamme anasheherekea birthday yake huwa nawaza mbali mno aiseeee
Ni mtazamo tu , hata wewe kuna vitu unafanya watu wanakushangaa kinoma na hujuiNikiona mwanamme anasheherekea birthday yake huwa nawaza mbali mno aiseeee