Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Hongera kwa kuwa haiLeo nakumbukq siku yangu ya kuzaliwa nashukuru ni mzima wa afya maana katika familia yetu watu wanakufa kabla ya tarehe ya siku ya ya kuzqliwa kabla ya siku tatu au mbili na mimi pia wiki ilio isha mambo yalikuwa mengi ya kuvuruga akili naona shetan alikuwa kazini ila Mungu mwema
Asante sana mkuuHeri ya kuzaliwa classmate...
Thanks sanahappy birthday Mwachiluwi
ThanksHbday
Ndio sijakataaauzee huo😂
Ndio mkuu happy birthday to you tooHappybirthday to you...kumbe tunashare birthday mkuu...