Happy birthday to me.Nazeeka aisee.

Happy birthday to me.Nazeeka aisee.

tamuuuuu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
21,329
Reaction score
28,063
Leo natimiza miaka 32 tangu niletwe Duniani.Nimemshukuru mama Sana Kwa kila kitu.Lakini pia namshukuru Mungu Kwa kunipa uhai na pumzi bure.Changamoto za maisha napambana nazo pia kutafuta mkate na maisha mazuri kwaajili ya familia nitakayopata mara baada ya kuoa.Tuzidi ombeana Sana.Nawapenda Sana Wana jf wote,na nawaheshimu Sana.

Mungu awabariki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi kusikia pahala kuwa maadhimisho bora ya siku ya kuzaliwa ni baina ya mzaaji na mzaliwa yani mama na mtoto tu!
 
Back
Top Bottom