Ulivyosema Mara utakapooa ndo nikajua wewe Ni me! Any way kwa nn unajiita tamu ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ipo hivyo !??Hbd ... hongera mkuu
BTW nyinyi watu msio na makundi humu thd zenu huwa zinarukwa kama " kinyesi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Oh tutapata tabu kwa kweli.Hbd ... hongera mkuu
BTW nyinyi watu msio na makundi humu thd zenu huwa zinarukwa kama " kinyesi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha cute b _ bwana "Oh tutapata tabu kwa kweli.
Hayo makundi yapo wapi? Nataka nijiunge.
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Nataka na mimi niwe na makundi makundi ya huku mkuu. Naweza nikaumwa nikakosa msaada[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaa subiri wakiona kwamba una-wafaa wata kupa access wenyew " sharti haupaswi kuomba kuwa member mpaka uwe una-vigezo vyote stahikiNataka na mimi niwe na makundi makundi ya huku mkuu. Naweza nikaumwa nikakosa msaada[emoji23][emoji23][emoji23]
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.