Happy birthday to me panchito

Happy birthday to me panchito

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Namshukuru sana MUNGU aliye juu kwa kunipa uzima na mpaka sasa hivi ninaandika.

Bila yeye hakika nisingeweza ,naomba anitimizie zaidi ya yale niliyomuomba japo apangalo huwezi pinga.

Nami nakukaribisha 2021 kwa hasira zaidi kwani nina malengo na maisha yangu ..mke wangu na watoto wangu wawili mnazidi kunipa nguvu..

Happy birthday to me
 
Back
Top Bottom