trudie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 3,668
- 8,745
Namshukuru sana Mungu kwa kunipa neema ya kuongeza mwaka mwingine. Nashukuru leo nimetimiza miaka kadhaa kwa kuingia floor mpya ya majukumu.
Mwaka huu umekuwa wa neema sana kwangu mwenyezi Mungu anazidi kunipigania. Kweli tunazeeka na miaka inaenda sana. Happy birthday to me.
Intelligent businessman nasubiri muamala wa keki na lunch hadi dinner on you[emoji3][emoji3]
View attachment 2637038