Ngoja nikaandae Uzi๐๐, miaka mingapi??Namshukuru sana Mungu kwa kunipa neema ya kuongeza mwaka mwingine. Nashukuru leo nimetimiza miaka kadhaa kwa kuingia floor mpya ya majukumu.
Mwaka huu umekuwa wa neema sana kwangu mwenyezi Mungu anazidi kunipigania. Kweli tunazeeka na miaka inaenda sana. Happy birthday to me.
Intelligent businessman nasubiri muamala wa keki na lunch hadi dinner on you[emoji3][emoji3]
Aweee๐๐, naijuaa hiyo๐Nasisitiza angalau hata ka mguu trudie ๐
Huyu unamwita atakuja kuharibu siku tuu mkuu....thank you alot [emoji3059][emoji3059]Chizi Maarifa njoo umtakie heri mama la mama siku yake hii ya kuzaliwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Happy Birthday to you trudie have blessings [emoji91][emoji92][emoji91]
Kwanini kuharibu furaha mtu?Chizi Maarifa njoo umtakie heri mama la mama siku yake hii ya kuzaliwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Happy Birthday to you trudie have blessings [emoji91][emoji92][emoji91]
Nilikua nakumbushia enzi hizoo๐๐๐Huyu unamwita atakuja kuharibu siku tuu mkuu....thank you alot [emoji3059][emoji3059]