Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
- Thread starter
-
- #41
Hakuna tatizo bro,nashukuru sana.Happy birthday to you.....
Mkuu
Japo it's very late
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Older than yesterday younger tomorrow happy birthday Youngblood
Thanks brotherHappy birthday to you brother Youngblood
Naona uzee huo taratibu unajongeaThanks brother
Happy birthday to you brother Youngblood
Happy birthday to you.....
Mkuu
Japo it's very late
Nimefurahi kuwaona hapa
Asante kaka mkubwa. Nimefurahi piaNimefurahi kuwaona hapa
Tena kwa speed kubwa aisee[emoji23]Naona uzee huo taratibu unajongea
Thanks you.Happy birthday buddy. Live Long[emoji512]
Basi hata ukoko wa pilauu[emoji23] [emoji23]Thanks you.
Umechelewa cake imeisha!
Hahahaha subir mwakani tenaBasi hata ukoko wa pilauu[emoji23] [emoji23]
Dah wewe siyo mtu mzuri atii[emoji134]Hahahaha subir mwakani tena
[emoji23] unajua sio vizuri kumpa mgeni ukoko,ndiyo maana nakuambia subiri mwakan wew ndiye utakuwa wa kwanza kula cake.Dah wewe siyo mtu mzuri atii[emoji134]
Inabidi nije na sandarusi.[emoji126] [emoji126][emoji23] unajua sio vizuri kumpa mgeni ukoko,ndiyo maana nakuambia subiri mwakan wew ndiye utakuwa wa kwanza kula cake.
Sitamani uzee ila unaniita sana aiseeTena kwa speed kubwa aisee[emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Inabidi nije na sandarusi.[emoji126] [emoji126]
Hakuna namna hapo lazima upitie.Sitamani uzee ila unaniita sana aisee
Labda nisepe duniani nikiwa bado kijanaHakuna namna hapo lazima upitie.
Kabisa,ingawa hilo hatuombei litokee [emoji23] ,ugali bado tunaupenda.Labda nisepe duniani nikiwa bado kijana
Ugali mtamu sana. Sema hakiepukiki aisee.Kabisa,ingawa hilo hatuombei litokee [emoji23] ,ugali bado tunaupenda.