Siafu na Manga
JF-Expert Member
- Aug 5, 2013
- 2,884
- 8,956
Daah R.I.P DenaMasikini...Umem-wish long life..Ila ndo hivyo tena....
R.I.P Dena Amsi
Kabisa mkuu ni vizuri kujiandaa kwa sababu hatujui siku wala saa.Sote hapa duniani tu wapitaji tu. RIP
Mbona Uzi wa ule wa Tanzia umefutwa! Macho yanguSote hapa duniani tu wapitaji tu. RIP
Umefutwa? Kwa nini? Au wamepata ushahidi kuwa pengine ulikuwa ni utani tu? Naomba uwe utani please...Mbona Uzi wa ule wa Tanzia umefutwa! Macho yangu
Wameurudisha tayariUmefutwa? Kwa nini? Au wamepata ushahidi kuwa pengine ulikuwa ni utani tu? Naomba uwe utani please...