samuel faraj
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 1,326
- 1,265
Kijiweni hauonekaniHBD kiongozi. Usisahau kutuletea keki baadae kijiweni kwetu [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Naomba kujua tarehe zenu za kuzaliwa ili niwaandalie zawadi nzuri ya kuwatunuku. [emoji4]Happy new year mkuu.
Uishi miaka mingi kama Zinjathropus
Hongera kiongozi
Nilikumbwa na mafuriko...Kijiweni hauonekani
Angalia profile yanguNaomba kujua tarehe zenu za kuzaliwa ili niwaandalie zawadi nzuri ya kuwatunuku. [emoji4]
Hizo za kwenye profile siziamini hata kidogo....yaani jina utumie feki, picha feki halafu birth date iwe ya kweli?Angalia profile yangu
KaribuNilikumbwa na mafuriko...
Jiwe langu ninalokaliaga lilisombwa na maji ndio maana niliadimika.[emoji12]
Ila leo ntakuja kula keki ya popo mwenzetu
Asante, ila bado hujanitajia tarehe yako ya kuzaliwa [emoji12] [emoji12] [emoji12]Karibu
Thanks mkuu
hahaha thanks mzee mwifwaHappy new year mkuu.
Uishi miaka mingi kama Zinjathropus
Thanks mkuuHongera kiongozi
Hizo za kwenye profile siziamini hata kidogo....yaani jina utumie feki, picha feki halafu birth date iwe ya kweli?
Niambie buana,ile yenyewe yenyewe yenyewe achana na hii feki [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pamoja sana mkuuhahaha thanks mzee mwifwa
Kunani leo?