Umeonaeeee. [emoji12] [emoji12]Aisee rafiki hayo ni maeneo yangu kweli kama mwenye b day yake hatojari muda ukifika anitag tu...
Happ b day bro
Kweli rafiki unanikumbuka kwenye shida na raha [emoji1]Umeonaeeee. [emoji12] [emoji12]
Nilivyoona tu tbt basi nikakumbuka rafiki. Hahahaaa.
Zingatia location ya party alafu unipe ratiba sasaHappy birthday to u Mungu azidi kukulinda na kukukuza zaidi
Hahhaha kiwanja cha nyumbani nahisi utaendaZingatia location ya party alafu unipe ratiba sasa
Bila wewe bado hapajaendeka sasa nipe ratiba yakoHahhaha kiwanja cha nyumbani nahisi utaenda
Hahahaha kama mm sitaki kwendaBila wewe bado hapajaendeka sasa nipe ratiba yako
Mimi pia nitakua sitaki kwendaHahahaha kama mm sitaki kwenda
Hapo sasa nimekuamini.View attachment 723352
Bado hauamini tu
Ahsante mzeeHBD kiongozi...!
Sawa nasubiri...Hapo sasa nimekuamini.
Kumbe kesho kutwa tu ....ngoja nianze maandalizi.
Huyo atakuwa ana moja na nusu tu [emoji126] [emoji126] [emoji126]Decade ngapi sasa mkuu
approximately 3 mkuuDecade ngapi sasa mkuu
Amen.Thanks sakayoHappy birthday mkuu... Mungu akulinde, akupe maisha marefu uone kizazi chako cha nne...
Akupe afya njema na malengo yako uyafikie pasi na matatizo!!!
Thanks ushimenCount your life by smiles, not tears...
Count your age by friends, not years.... Happy birthday mkuu....!!
Basi hakuendeki tutaagiza tu kunywa nyumbani acha birthday boy asherehekeeMimi pia nitakua sitaki kwenda
Amina shunieHappy birthday to u Mungu azidi kukulinda na kukukuza zaidi
Inaelekea hapa pana ujumbe mzito....tafadhali nitafsirie mkuuCount your life by smiles, not tears...
Count your age by friends, not years.... Happy birthday mkuu....!!
wewe si umenitenga shemejiLoh shemeji tabia gani hiyo
Happy birthday shemela wangu my hanshaaaamy
Nakuja40 40 umekaaa kwa wapi mkuu??