HAPPY BIRTHDAY TO ME

chavalla

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
451
Reaction score
354
Ilikuwa tar 16-4-.... ndipo nilipo iona hii Dunia nashukuru sana MUNGU wangu kwa kuniwezesha kuiona siku kama ya leo ni natimiza miaka kadhaa na ahsante mama yangu kwa kunileta Dunia ni. Na pia naomba MUNGU anizidishie miaka mingine kama hii. Happy birthday to me.
 
HBD mkuu...live long...!
 
Uwe na siku njema ya kuzaliwa Mkuu.

Ila umetisha aisee. Yaani bado dk 12 siku kugeuka ndio unaanzisha uzi. Kwa mbaali ni kama dalili za kutunyima keki.
 
Happy Birthday mkuu,
Japo ukoo wa Chavalla ulihusika kumsaliti Mtwa Mkwawa kwa kumpa Mjerumani ramani ya kuingia hemani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…