Happy birthday to me

Gluk

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Posts
1,859
Reaction score
3,008
Nimezaliwa tarehe 17,4, Siku ya j4 saa mbili usiku ndo siku niliyoanza kuliona jua,
asante MUNGU
Nachukua fursa hii kumshukuru muumba wa mbingu na nchi kwa kunijalia afya njema mpaka siku ya leo nasema asante.
Pia nawashukru baba na mama kwa kunifanya niwe jinsi nilivyo leo pia nasema asante sana.
Nawashukru ndugu na jamaa pia nasema asante.
Pia naishukuru Jf na members wote mlioko humu kwani kupitia ninyi nimejifunza mengi pia nasema asante. Karibuni tuinjoy part pamoja.
ASANTE MUNGU
 
Kheri ya Siku ya kuzaliwa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…