Habarini wakuu, tarehe 24/05/199- nlizaliwa. Hivo Leo natimiza miaka kadhaa.
Namshukuru mwenyez Mungu kwa kunifikisha hapa, pia nawashukuru walezi wangu walio nifikisha hapa.
Wote tulio zaliwa tar 24 ya mwez huu wa 05 karibuni tujumuike ili tufurahi kwa pamoja.