Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Teh hili jina tu mkuuKheri ya siku ya kuzaliwa MTOTO.
Mwenyezi Mungu azidi kukupa Afya njema na kila la kheri uishi miaka mingi yenye wingi wa baraka tele.
Ila ndio uanzage kulala na hela sasa zisiishie kwenye jojo na biskuti. Teh teh. [emoji12][emoji12]
Usijali Mkuu nimetania tu bana sababu wewe leo si ni katoto. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Teh hili jina tu mkuu
[emoji4] sawa mkuuUsijali Mkuu nimetania tu bana sababu wewe leo si ni katoto. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe ni KE au METhanks to my Lord God because without you I'm nothing.
Dear my lovely parents I'm still younger, I need your assistance in each step I make into my life.
Dear my relatives, brothers and sisters let's us hold each other hands and make sure we stands together.
Dear my friends, I'm happy to have you into my life still I needs your advice.
Once again Thanks God for this new decade into my life, Happy birthday to me.
KidumeWewe ni KE au ME
BASI umekosa zawadi Ndugu.Kidume
Nipe tu na wanawake hamna choyo ya zawadiBASI umekosa zawadi Ndugu.
Kudadeki hawa wakuda wamenibadilisha jinsia na kuwa FEMALE, nitaua mtu ujueNipe tu na wanawake hamna choyo ya zawadiView attachment 825620
Hakuna anayebadilisha ni wewe uliingia hivi hiviKudadeki hawa wakuda wamenibadilisha jinsia na kuwa FEMALE, nitaua mtu ujue