Hahahaaa. Haya nasubiria Kaka ake.hope umekaona kalike kangu
june 7 mwakani ntampostia mimi inshaallah π
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Upo sahihi kabisa mkuu
Dah umenikumbusha hayo magari ya Kiume Pesa enzi hizo
Hahahaaa. Haya nasubiria Kaka ake.
Tuombe uzima Insha Allah.
ππππ naona umekuwa mdoogo Pacha zaidi ya Piriton.
Nimefurahi kukuona Weekend hii. Uwe na Jumapili njema Pacha. πππ
IndeedNamshukuru mwenyezi mungu mwingi wa rehema kwa kuniongezea umri mwingine, shukran nyingi zaidi zangu ziende kwake kwa kunipa uhai na afya njema neno langu kuu Alhamdulilahi alhamdulilahi alhamdulilahi...