Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
Happy birthday mdada!Mungu awe nawe kwa kila hitaji lako[emoji4]
Thank you bbadeHappy Birthday beautiful...[emoji9][emoji9][emoji9]
Ndoa lini sasa😤😩😩(ndo maswali ya watz😩)
Utasikia "fanya fanya ulete kachalii basi maana umri unaenda" utasema atakusaidia kulea.Ndoa lini sasa[emoji36][emoji30][emoji30](ndo maswali ya watz[emoji30])
Kuonyesha na wewe ni mtanzania halisi umeuliza[emoji3][emoji3]Ndoa lini sasa[emoji36][emoji30][emoji30](ndo maswali ya watz[emoji30])
Utasikia "fanya fanya ulete kachalii basi maana umri unaenda" utasema atakusaidia kulea.
Ndoa lini sasa[emoji36][emoji30][emoji30](ndo maswali ya watz[emoji30])
😂😂😂kweli hawatakiHaha nawe mswahili...kila mkipishana "utaolewa lini"
Yuko pm ila wanaume wa Tz hawataki kypangiwa wala kuulizwa ndoa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]kweli hawataki