financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Aiseee, sijaiskia ngoja niifatilie najinyima vitu vzr kumbe visharuhusiwa kutumiwa[emoji12]Ila inabidi ipimwe na wataalamu we tafuta speech ya mzee baba wakati yupo mtwara ile tarehe 2/3 kama sikosei
Sent using Jamii Forums mobile app
HahaahahahhaaAiseee, sijaiskia ngoja niifatilie najinyima vitu vzr kumbe visharuhusiwa kutumiwa[emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante my dada ubarikiweHappy kuzaliwa day madame...uishi miaka mingiii
Heri kwako kwa siku ya mazazi yakoKwanza napenda kumshukuru Mungu muumba wa mbingu na ardhi, baba wa ulimwengu huu kwa kunipa nafasi ya kutimiza miaka kadhaa pia kunijaalia afya njema mpaka hapa nilipofikia .....namuomba mungu anizidishie baraka zake ,hekima na busara .
Niwatakie heri wale wote ambao wamezaliwa mwezi mmoja na Mimi..
Happy birthday to me

Daahh,, unakaribia 27Kwanza napenda kumshukuru Mungu muumba wa mbingu na ardhi, baba wa ulimwengu huu kwa kunipa nafasi ya kutimiza miaka kadhaa pia kunijaalia afya njema mpaka hapa nilipofikia .....namuomba mungu anizidishie baraka zake ,hekima na busara .
Niwatakie heri wale wote ambao wamezaliwa mwezi mmoja na Mimi..
Happy birthday to me
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni swala la muda tu, utashangaa pale shikamoo zikiongezeka, ndo ujue utoto kwa kheriNiwache[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] umri unasogea but sura na umbo vipo utotoni hukohuko