Fisherscom
JF-Expert Member
- Mar 13, 2008
- 1,763
- 766
- Thread starter
-
- #41
Umeanza lini uchoyo eti
Uchoyo kitu kibaya sana,kama ninavyonyimwa mimi!?Umeanza lini uchoyo eti
Na wewe hukukula keki?!Uchoyo kitu kibaya sana,kama ninavyonyimwa mimi!?
Mimi nanyimwa vingi vinono zaidi ya hiyo kekiNa wewe hukukula keki?!
Hahaha hahaha hahahaMimi nanyimwa vingi vinono zaidi ya hiyo keki
Hahaha hahaha hahaha
Kwa nini unanyimwa eti
Jamani jamanii...Kuna uzi nimeomba kutajwa tu na nimebaniwa!
MamboHappy birthday mkuu, kila raheri kwa yote uyafanyayo ila yanayo mshirikisha muumba wako [emoji513][emoji513][emoji513][emoji513]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzima dear, nani iko ficha wewe
[emoji23][emoji23][emoji23] nipo mamito pilika tu zahapa na paleMzima dear, nani iko ficha wewe
Jamani
Itakuwa tunapishana tu jamani, sahizi nitajitahidi nikiingia humu lazima nikusabahi my dear!Jamani
Tusipotezane sana jamanii
Asante my dear...Itakuwa tunapishana tu jamani, sahizi nitajitahidi nikiingia humu lazima nikusabahi my dear!
Sent using Jamii Forums mobile app