mkalusanga
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 369
- 446
Habari Zenu Wakuu Leo ni Siku yangu ya Kuzaliwa Namshukuru Sana Mungu Kunipa Uzima Mpaka Leo Toka Nimejiunga Humu nina Miaka 8 Nilichopendea Humu Kila Mtu ni Mkuu Awe Wa Kike Au Wa Kiume Pia Watu Wengi humu Wana Upendo Nimejifunza Mengi Sana Humu Mengi ni Mazuli tu Mabaya Niliyaacha niliyokutana Nayo Nachotaka kuwaambia Endeleeeni na Upendo Asanteni Wooote.