Unafuatilia hadi game za tennis.Niko home tu nashangaa shangaa, kuna game za tennis hapa ndiyo naangalia.
Mara paaap wewe ndie uliemuita🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️Hahaha, nimeona nikasema naomba usije humu.
Mara paaap wewe ndie uliemuita🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️
😄😄😄😄😄
Unafuatilia hadi game za tennis.
Basi bora yako unacho cha kukusogezea Muda.
Sawa, furahia.
Fanya maombi mkuu, by the way EPL ikiwa haipo ndio tunakuwa kama hivi hizi weekends. Kesi tupu duh!!Amenishtua kuja, maana kuna vitu mtu hutamani avione.
Hapa kuna watu wawili naomba wasije huku.
Fanya maombi mkuu, by the way EPL ikiwa haipo ndio tunakuwa kama hivi hizi weekends. Kesi tupu duh!!
Wala huelewekiTakuteka mzee [emoji19][emoji19][emoji19]
Ulichoandika haukutamani hata mimi nikione?Amenishtua kuja, maana kuna vitu mtu hutamani avione.
Hapa kuna watu wawili naomba wasije huku.
Hivi za basketball ni usiku? Au nazo zimeisha?Hapa ni kwa vile sina cha kuangalia, na dogo anacheza tennis shuleni kwao, hapa ndiyo tinaangalia game pamoja.
Ulichoandika haukutamani hata mimi nikione?
Hivi za basketball ni usiku? Au nazo zimeisha?
Hahahahahha hivi ni nini maana ya "kufa, kuoza, kuwa kipofu kwa mtu"? .Kabisa aisee. Maana kuna jinsi utanishushua ukijua kwamba sitendi ninavyo preach.
There is book called "Banker to the poor" find it manNdiyo hivyo, hapa natafuta hobby sizipati. Kitabu cha Reginald Mengi kimenishinda hata kumaliza page 50 na kina 660 pages.
Kila nikikianza nakwama.
Hahahahahha hivi ni nini maana ya "kufa, kuoza, kuwa kipofu kwa mtu"? .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]akikununulia nishtue maana yangu kesho kutwa.
There is book called "Banker to the poor" find it man
Itabidi nianze kupenda basketball. Nahitaji kuwa bize, sema Nazo zipo Muda mbaya.Basketball leo alfajiri ndo semi finals zimeisha.
Final inaanza Alhamis usiku, itakuwa ni 7 games series.
Tumekusikia ndio unafikisha mingapi sasa?HBD 2U