Happy birthday to me

Happy birthday to me

Namshukuru sana M/MUNGU mwingi wa rehma na baraka kwa kuniwezesha kufikia leo tarehe ambayo kwa uwezo wake nilikuja dunia shukran za dhati ziende kwa wzazi wangu wawili............Wallah nina furaha sana.
Happy birthday
 
Happy escape womb day [emoji173][emoji7][emoji173]
Ishi maisha marefu ...
Allah akupe hitaji la moyo wako na akufanye mama bora na mke bora na akupe busara na hekima katika mambo yako.
Pia, nakuombea akuepushe na hasada
Kumbuka; Umri wasogea na kifo kinasogea kwaiyo furahia huku ukizidishia mema kama KUTOA sadaka, kuishi vizuri na majirani na kusali na upunguze na kuacha madhambi.
UMRI MPYA NA MABADILIKO MAPYA ISIWE UMRI MPYA MAOVU MAPYA.... We love you friend ..nitumie keki [emoji39][emoji851][emoji39]
 
Allahuma amin M/MUNGU akuongoze sana.
 
Namshukuru sana M/MUNGU mwingi wa rehma na baraka kwa kuniwezesha kufikia leo tarehe ambayo kwa uwezo wake nilikuja dunia shukran za dhati ziende kwa wzazi wangu wawili............Wallah nina furaha sana.
Tuma kapicha tukuweke status
 
Kheri ya siku ya kuzaliwa. Allah azidi kukutunza na kukupa Afya njema.
 
Mungu akufanyie maisha marefu yenye kheri na fanaka, uishi kwingi na Mungu akufanyie mafanikio na maisha yenye amani tele....
 
Back
Top Bottom